anita profile

anita

Oct 19, 2026

⋮

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Naomba msaada jamani, naona kuna mabadiliko kwenye laini za lipa, nashindwa Ku to a pesa iliyopo kwenye lipa namba, Naomba anayejua anisaidie

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.