wakala.forum profile

wakala.forum

Mar 10, 2025

Post media

Muonekano mpya wa Wakala Forum. Sasa kutakuwa na uwezo wa kupost story. Inashauriwa matangazo yapostiwe kwenye story, ili post za kawaida zibaki kwa maswali na mambo mengine. Kwahyo @mange story ndio sehem yako, maana wewe ndio una matangazo mpaka kwenye bio.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.