isdory profile

isdory

Jun 23, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Naomba kuuliza mtu akija akakwambia muamala haujafika na umeufanya na ukipiga huduma Kwa wateja Wanasema hujafanya muamala inakuaje kwangu Kila siku Wanakuja

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.