mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 6, 2026

Post media

Hili somo muhim sana kwenu mawakala wapya na mnao taka kuanza biashara hii. Mteja anapokuja anajiongeresha na sim zisizo isha wakati kaja kabisa ofisini kwako anataka huduma Wala usipoteze muda wako kumuhudumia mwambie amalize kwanza shida zake za sim akitulia ndo umpe huduma. Tena so Hilo yani usizingatie mawasilano anayo ongea na huyo anaongea nae huo ndo unaweza kuwa mtego kukutapeli wewe au anataka ajifnye anakunchanganya badae aseme umekosew mwenyewe wakala jina so hili yani kiufupi Kuna njia nyingi za kukutapeli Kwa mteja amabe anaongea na sim yuko bize Kuna maswali utakuwa unamuuliza hato jibu atatumia tu ishara sasa hapo ndo mtego kaweka ko akija mwambie maliza shida zako za kuongea na sim ndo useme unataka huduma gani. Akilazimisha mwambie takuogotea mawe toka ofisini kwangu mwehu.😁😁😁 Follow me Mpesa business ujifunze wewe. #MPESASafaricom #MixByYas #vodacomtanzania #Vodacom #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.