mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 9, 2026

Post media

Hapo watu wanaweza wasinielewe kabisa ila nimesema kwa sababau hii. Ivi we haijawahi tokea jioni labda umefunga hesabu milion nne asubuhi unapiga hesabu unakuta milion tatu na laki tisa na elfu tusini au ukakuta milion nne na elfu tano yani ikazidi. Sababu pia huwa hii unapo fanya hesabu baada ya kazi kiukweli akili yako inakuwa imechoka kabisa kwaiyo wakati unapiga hesabu unajikuta unakosea sababu akili imechoka wengi najua inawakuta hiii wengine adi wanasema ni uchawi hapana asilimia mia huwa akili imechoka. Asubuhi mapema tayari akili inakuwa na utulivu mkubwa ukipiga hesabu asilimia mia inakuwa sahihi kabisa kwaiyo muda mzuri huwa asubuhi. Ndomaana walim wenzangu wa hisabati mnajua vipindi vya hisabati lazima viwe asubuhi unajua nikwanini basi ndio kama sababu hiyo. #MPESA #Vodacom #Airtel

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.