Katika kitu muhimu sana kwenye uwakala ni eneo yani location kabla hujafungua ofisi hakikisha unafanya uchunguzi wa eneo unalo taka kufanya uwakala leo natoa somo.
Kwanza usipende kwenda kwenye eneo ambalo washatoka zaidi ya mawakala wawili hilo eneo lazima liwe na shida.
Cha pili chagua eneo ambalo unajua kuna uhitaji sana wa huduma hiyo atakama ni mtaani ipo mitaa mingi yenye uhitaji kweli wa huduma ya uwakala ambapo ukifungua wewe unakuwa mkombozi wao.
Ukiwa na mitaji mkubwa hakikisha unakuwa sokoni, barabarani, karibu na vyuo, stand karibu na huduma za afya zilizoko mjini.
Ukichagua eneo hivo nilivyo sema huto jutia
#MPESA #Airtel #Vodacom