HR profile

HR

Mar 10, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

One day inabidi tuwe na umoja wetu wa mawakala Tanzania kwa ajili ya kutetea maslahi yetu , mawakala ni moja ya watu muhimu sana kwenye ujenzi wa nchi hasa upande wa uchumi lakin bado wanadharaulika na hawapewe hadhi wanayostahili , kamisheni mitandao inajisikia tu kupandisha na kushusha , kumbuka mawakala ni sekta iliyobeba watu wa aina mbalimbali wasomi na wasio wasomi , kukiwa na umoja ambao ni strong tutaweza kutatua changamoto mbalimbali kuzipunguza au kuondoa kabisa , mfano wa changamoto hizo ni kama utapeli, maslahi yenye manufaa kwa wote mabank/mitandao na mawakala , thats my opinion for today Follow me for more tips Dr hapa.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.