kamugisha profile

kamugisha

Jun 13, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Kazi ya uwakala ni ngumu kwenye mahesabu maana mimi kila baada ya kufunga kazi uwaga napiga mahesabu najikuta elufu Tano imepotea mara elufu mbili mala elufu kumi na nyie ndoivo ivo

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.