bumela profile

bumela

Jun 14, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Naomba kuuliza Kuna faida yoyote ukiwa unafanya miamala hafu una filiji ya kuuza vinywaji baridi?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.