wsms profile

wsms

Aug 28, 2026

Post media

Habari mawakala 👋🏾 Tumetengeneza Smart Wakala — Wakala Smart Management System, mfumo uliotengenezwa kurahisisha usimamizi wa biashara ya uwakala. Badala ya kutegemea daftari, hesabu na kumbukumbu zilizotawanyika sehemu tofauti, Smart Wakala inakusaidia kusimamia sehemu kubwa ya biashara yako sehemu moja Miamala • Cash & Float • Commission • Gharama • Wafanyakazi • Reports • Faida Kila shughuli inapowekwa kwenye mfumo haiishii kuwa kumbukumbu tu. Taarifa zinaunganishwa na sehemu husika za biashara ili iwe rahisi kufuatilia kinachoendelea na kuelewa biashara yako kwa picha kubwa zaidi. Ndani ya Smart Wakala pia kuna Pinnacle AI, intelligence inayotumia taarifa za biashara yako kukusaidia kuona mwenendo, kupata insights na kutambua maeneo yanayoweza kuhitaji umakini wako. Mfumo umejengwa uwe rahisi kutumia katika shughuli za kila siku za wakala, iwe unatumia simu au computer, na unaweza kuchagua Kiswahili au English. Kama wewe ni mmiliki wa biashara ya uwakala, unaweza kufungua account yako na kusajili biashara yako kupitia: wakalasmart.site Endesha biashara yako kisasa Elewa kinachoendelea hata ukiwa mbali Smart Wakala Built with 🩵 from LABBS Tech

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.