siraji profile

siraji

Mar 2, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Naomba nifaham ndg zang Jana nimehamisha pesa kutoka Lipa tigo kwenda Till tigo ilikua shilingi 785400/= Kuhamisha tu mara moja nimekatwa elfu8 Vp ipoje hio ndg zang 😢😢

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.