mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 8, 2026

Post media

Usije subutu kutuma muamala mara mbili mbili eti kisa messege haijarudi aisee utalia siku moja tuma mara moja tu basi. #MPESA #Airtel #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.