manamba profile

manamba

Mar 2, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Mwenye uelewa kuhusu hili jambo naomba MSAADA Kwa wote tusiofahamu. Nimesikia baadhi ya watu wanasema kuwa kama till ya uwakala ya M-PESA Kuna wateja wengi wanatoa pesa kwenye hiyo till Kwa namba za LIPA mwisho wa mwezi kamisheni zinapunguzwa. Je hili jambo Lina ukweli wowote

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.