Vodacom Kuna sehem pia nasisi mawakala tunatakiwa kuwashauri sababu sio kwamba mawakala hataki kutumia till za mpesa shida ni mfumo ulio opo saivi Kwa wateja yani kinachosababisha wakala kutumia lipa ni mteja.
Wateja ukiwaambia Kwa sasa watoe Kwa till wanakataa na wewe huwezi acha hela utakufaa njaaa ko Nini kifanyike.
Huo mda mnao pata kuwatumia message mawakala eti watumie till tumeni Kwa wateja mfano huu.
Ndugu mteja tunapenda kukupa tarifa kuanzia Leo usitoe hela Kwa wakala Kwa lipa yake tumia laini yake ya uwakala na sio lipa nikinyume cha Sheria na ukitoa tu ata muamala mmoja Kwa lipa laini inafungiwa atakama Kuna hela Asante.
Mkituma Kwa watu wote kila siku hawato tumia tena lipa ata kidogo lakni eti Kwa wakala mnatuonea tu Bure. Ni maoni yangu na ombi sio shurutisho.
#MPESASafaricom #vodacomtanzania #Vodacom