justin profile

justin

Jun 17, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jamani naomba kuuliza Leo wamekuja watu wakasema nibonyeze *150*01#ok Chagua 7 ok Chagua 8 ok Chagua 1 wakala mkuu ok Ety kujuwa wakala wangu mkuu hii kitu ipo sahihi au hapna

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.