christopher profile

christopher

Jun 6, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jamn kwani voda wanadai mawakala tumia Lipa kwanini wasiziwekee zero Charge na zero Commission ili kupnguza hizo fraud then swali Lingne kwanini Wakala Mkuu nae ana Katwa anatumia Lipa je Niki mhudumia Wakala akaenda kutoa kwa manufaa yake mengne labda aka weka kwenye Bank Kosa langu Mimi lipo wazi hpo?? Mbna mna tuadhibu bila kufanya utafiti wakina Voda com mbna Safaricom hii Tabia haipo kabsaa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.