mpesabusiness
5d ago

Leo nataka niwaambie na nyie mawakala wakuu ambao mnakula kupitia sisi bila sisi hamli na hampati hela bisha kubali. Kuna vitu vingine huwa mnaona kabisa viko tofauti ila kutusemea hamsemi mnaangalia maslahi yenu tu basi sisi tunateseka. Ivi Kwa mfano we wakala mkuu unashindwa kutetea hii Sheria inayoa sema wakala asisaidiene na wakala mwenzake eti paka wakala mkuu ivi hii Sheria walipitisha kwakuwa wenyewe wanakaa kwenye ac na vitu vya kuzunguka. Mtu yuko kijijini ni wakala kumpata wakala mkuu adi jasho inaingia sehem za Siri afu unasema wakala asiweke flot zaidi ya Kwa wakala mkuu wakati Kuna jirani yake wakala anaweza msaisidia kumpatia flot ko mtu aache kazi siku nzima eti kisa hajahudumiwa na wakala mkuu hii haipo sawa kabisa Nyie mawakala wakuu mseme mko kwenye vikao baazi ya Sheria zibadirishwe zinatuuwa sisi mawalaka huku wa chini hatuna pakusemea. Follow me Mpesa business #MPESASafaricom #MPESA #Vodacom #vodacomtanzania #MixByYas @
Je wewe ni wakala?
Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.