mpesabusiness profile

mpesabusiness

9h ago

Post media

Hizi lain za pochi hazisajiliwi tu haraka haraka kama lipa hizo za kawaida hakuna.. Hizi zinautaratibu mlefu lazima uweke barua na picha ya genge au biashara unayo fanya na barua pia mawakala ndo wanajua jinsi ya kufanya pia baada ya kujaza kila kitu mteja atapiga menu ya kuomba lipa namba. Akishapewa lipa namba mimi wakala naichukua tena naituma voda Kwa email ili waweze ipitisha tena ndo lain ianze kufanya kazi sasa ndomaana tunasema ni masaa 24 adi 48 na inaweza kupita hapo kwaiyo hizo ndo hatua za lipa pochi ndomaana wengi sana wana lipa namba tayari ila lain bado haijaruhusiwa kufanya kazi lazima ipitishwe Kwanza na voda yani approved. Apo tumeelewana Asanteni. #MixByYas #Vodacom #MPESA #Airtel

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.