mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 18, 2026

Post media

Sasa ndugu zangu ni hivi mteja akija akijifanya chukua sim hii nitolee hela humo laki nne ila nipe laki mbili kwanza nimpe huyu mtu apa ananisumbua chukua ile sim. Afu mwambie hivi chap na kutolea hapa umpe huyo mtu wako wala hakuna shida àpo utangundua vitu viwili. Kama ni kweli utatoa hela yake kwanza utazibitisha salio nkweli umetoa hela imo au laaa utampa hela na sim yake. Kama ni tapeli utajua tu usimpe sim we sema natoa hapa nikupe we si umesema ni kuna hela humu shida iko wapi kama ni tapeli ata ondoka ataacha sim akiacha we wajulishe watu waribu au kama police iko karibu wajulishe hilo àpo unakuwa umepiga kama pele. Unajulisha watu ili akija kusema labda umeiba sim ushahidi uwepo yani asipate chakusema nakama ni tapeli basi harusi ng'ooo Washatuibia sana na sisi tunawapa hasara kidogo. #MPESA #MixByYas #Vodacom #AirtelKenya #crdbbank

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.