ishaka profile

ishaka

3d ago

ā‹®

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habari za leo 10/06/26 Nipo na changamoto šŸ˜”mtanisaidiaje 1 nimefungua ofis hii sina hata wiki tatu 2changamoto yangu ni makato mteja akija anakuji nina elfu arubaini inatoka bei gan sijuw sina mabango ya makato msada wenu kama we zangu 3 natak bango ya kuweka codi za wakala 4 kazi njema kwasiku ya leo ngugu za wakala wezangušŸ¤

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.