superagent profile

superagent

Mar 16, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

*_MAWAKALA NAWAKUMBUSHA JINSI YA KUTOA PESA KWA WAKALA MKUU_* *⛽️ HALOTEL* 1️⃣ Piga *150*88# then OK 2️⃣ Chagua 7. Kutoa 3️⃣ Chagua 1. Wakala Mkuu 4️⃣ Ingiza namba ya Tili ya Wakala Mkuu 5️⃣ Weka Kiasi 6️⃣ Ingiza namba ya siri 7️⃣ Thibitisha *⛽️ AIRTEL* 1️⃣ Piga *150*60# then OK 2️⃣ Chagua 1. Weka Pesa 3️⃣ Chagua 2. Weka kwa Wakala 4️⃣ Ingiza namba ya Simu ya Wakala Mkuu 5️⃣ Ingiza Kiasi 6️⃣ Ingiza namba y siri 7️⃣ OK *⛽️ TIGO* 1️⃣ Piga *150*01# then OK 2️⃣ Chagua 5. Waka kutia Pesa 3️⃣ Chagua 2. Wakala kutoa Pesa kwa Wakala Mkuu 4️⃣ Ingiza namba ya Simu ya Wakala Mkuu 5️⃣ Weka Kiasi 6️⃣ Ingiza namba y siri 7️⃣ OK *⛽️ VODACOM* _*•Ili uweze kutoa hela kwa Wakala Mkuu. Kwanza kabisa hakikisha hela ipo kwenye Akainti ya Mtaji✅. Kama ilikuwa kwenye Akaunti ya Kazi ihamishie kwenye Akaunti ya Mtaji. Baada ya hapo fuata hatua zifuatazo ili kutoa hela kwa Wakala Mkuu:*_ 1️⃣ Piga *150*00# then OK 2️⃣ Chagua 5. Store Mgt 3️⃣ Chagua 2. Chukua Pesa 4️⃣ Weka namba ya Wakala Mkuu 5️⃣ Weka Kiasi 6️⃣ Weka Utambulisho wa Msaidizi 7️⃣ Weka Namba ya Siri 8️⃣ Bonyeza 1. Kuthibitisha #super Agent HITAJI LAKO NDIO KIPAUMBELE CHETU!! Whtspp & Call 0654555758

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.