mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 21, 2026

Post media

Ivi wateja ndugu zangu huwa mna tutest mitambo au niaje ndugu zangu jamani. #Uwakala #Vodacom #MixByYas #Airtel

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.