mpesabusiness profile

mpesabusiness

6d ago

Post media

Mwanzo nilikuwaga najua kuanza biashara ya uwakala paka uwe na mamilion ya hela kumbe ata so kweli ata laki Tano unaweza kuanza zingatia neno kuanza. Nilikuwa nikiuliza watu kuhusu uwakala wanasema tulia we dogo we kula ugali wa Bure kwenu huwezi uwakala ni hela nyingi sikukata tamaa nikawa naenda vodashop naogopa kuuliza siku moja nikaona niulize tu vipi uwakala naweza Anza na shingapi akasema dogo ukiwa na lain za uwakala na sehem yakufanyia hii biashara ata laki mbli na nusu unaanza nikaona huyu jamaa vipi.!!! Akanielezea so paka uanze na mitandao yote Kwa uku kigoma dogo Anza tu na voda na tigo akasema we si umesema kuanza tu au? Nikasema ndiyo akasema sasa we tafuta lain hizo na sehem anza. Nikicheki mimi namilion moja nikasema ishi kumbe naweza bana nikatafuta hizo lain kama laki moja na nusu lain tatu voda, Yas, na Airtel maana yule yule jamaa ndo alinisaidia kupata kutokana na udogo wangu alisema ananisaidia . Basi sehem uku kigoma so bei ata ka frame nikalipia miezi 3 Kwa 15000 mwezi mmoja ko mtaji rasmi nilianza Kwa laki saba nakumbuka, nikafanya kazi Ivo ivo mdogo mdogo nikawa naijua kazi hii kidogo kidogo nkazoea fresh nikapata jina dogo wakala ndo adi Leo mambo yako safi kabisa.. Usikate tamaa Anza sasa na ulicho nacho kikubwa zingatia masomo yangu hapa usizarau kama unaipenda kazi hii. Follow me Mpesa business #MixByYas #MPESA #AirtelKenya #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.