Wote ambao hamjui utaratibu wa Airtel na halotel till mje ili maswali yapungue au unae taka anza uwakala.
Ukitaka kusajili la ya Airtel au halotel kwanza popote ulipo Tanzania unapat haina haja ya kuweka kidole hilo lipo hivo.
Halotel vigezo.
1.Tin number
2. Lessen.
3. Uwe na laki kwenye lain hiyo ya Airtel
Siku moja lain imepita.
Airtel vigezo.
1.Tin number
2. Lessen.
3. Namba ya Airtel.
Dakika 20 tu unapita
Popote ulipo kikubwa we uwe na vigezo hivyo basi sio kwangu tu popote utapo enda ni hivyo nazani hmna maswali tena.
Bei kwangu 20000 halotel
Airtel 15000
Haya nendeni sasa uko mpigwe akili ziwaingie maana mnchaaga sehem ya uhakika mnaenda kuvamia matapeli.
0779573819