adibert profile

adibert

Dec 14, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Nilipoteza simu yenye till ya voda nikaenda jana nikaswap namba nikaambiwa ningoje saa 24 itakuwa imefunguliwa ila mpaka sasa bado shida nn maboss zangu

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.