mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 4, 2026

Post media

Mimi bado sijapata elim nzuri kabisa kwenye makato ya Airtel kwakweli naomba Airtel waje kutoa ufafanuzi mzuri. Kwanini mtu adi tarehe 20 akicheki salio 150000 akilipwa 100000 ivi Kwa akili ya kawaida ndugu zangu makato kweli code atakama umefanya miamala batili ndo ukatwe 50000 yote kweli jamani lbda mje mtupe ufafanuzi mnao jua hili swala kiufupi tu linaumiza hili swala sizani kama Kuna wakala anafurahia Hali hii. Airtel Tanzania #MPESA #Vodacom #MixByYas

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.