anita profile

anita

5d ago

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Naomba kuuliza, TIGO na Halotel nikimhamishia wakala mwenzangu pesa wananiambia kabisa makato Kiasi kadhaa, Ila Voda na airtel makato hakuna, inamaana wanakata bila kusema au imekaaje? Au hakuna makato kabisa?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.