HR profile

HR

Mar 12, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Kamisheni kidogo kodi utitiri Imagine 1.Ulipe kodi ya jengo kama umepanga 2.Ulipe kodi TRA central gavo 3.ulipe service levy(kodi ya huduma) kwenye wilaya yako 4.kamisheni ikiingia unakatwa kodi 5.ulipe hela ya ulinzi sehemu uliyopo / na hela ya usafi Hujala , hujavaa, hujahudumia familia , hujasaidia ndugu , hujatoa sadaka na zaka 🤣 Notice; kwa kamisheni kama za halotel tutakuwa tunafanya kazi lakini, tupo palepale, tunahitaji kamisheni ziwe uniform na fair kwa wote, Dr hapa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.