mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 16, 2026

Post media

Mteja yoyote akija akiwa anakuharakisha au anajifanya mjuaji maswali mengi au anakufokea mfukuze haraka sana so mteja huyo. Tena kuna kuwa na uwezekano mkubwa akawa tapeli, mtu kakuta watu unawahudumia alafu anataka uache uanze kumuhudumia yeye hakuna kitu cha namna hiyo fukuza tena akileta ubishi kata makofi huyo so mteja wateja tunawajua vizuri. Ila usizarau nakuwafokea wateja wastaarabu. #MPESASafaricom #MPESA #Vodacom #Airtel #vodacomtanzania

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.