justin profile

justin

Jul 9, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jamani Mbona Till Yangu ya YAS mteja alija kutuma PESA inakataa Ninaambiwa muamala umesitishwaa ... tafadhali wasiliana na Huduma kwa wateja 100...niliwaambigia wanasema niongee na Wakala wangu mkuu Daah.....nampgia hapatikani

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.