sham profile

sham

Jul 11, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jamani kuna namba ulinipigia wakisema laini yangu kuna matatizo ya kamisheni yamejitokeza sasa pale wakanihudumia wanasema wao wa Airtel chaajab tena wananiambiy piga menu ya tigo tukuboleshee laini sasa AP sijui pakoje AP ndugu zangu nikaamua nikate cm

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.