mpesabusiness profile

mpesabusiness

6d ago

Post media

Hatushauri upokee sim zingine zozote kwenye lain yako ya uwakala ili uwe salama na utapeli. Lakini Kuna namba muhim sana inabidi uwe haraka kuzipokea ikipiga kwenye lain yako ya uwakala namba yenyewe ni 100 kwanini tunasema uwe fast kupokea ni hii. Adi mtandao wanakupigia Kwa namba hiyo lazima asilimia kubwa Kuna tatizo hasa wanataka kukujulisha labda Kuna mteja anataka kurudisha muamala ko wanataka kukuuliza je uko nae huyo mteja au nisawa arudishe na maswali mengine ili kuweka usalama. Kwaiyo point ni usipokee namba zingine zozote zaidi ya namba 100. Nahapa ndo napo sisitiza sim yako ya kazi ya uwakala usimpe mtu ata mala moja anaweza save namba yake kwenye sim yako ila aka save namba 100 ko anaweza piga akiwa mbali we Kwa haraka unaona ni 100 kumbe sio Ali save kabla nazani kidogo mnaelewa ndugu zangu. Follow me Mpesa business #Vodacom #MPESA #MixByYas #AirtelKenya

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.