mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 5, 2026

Post media

Wakala wakala usije rudia kufanya hiyo tabia na kama bado usifanye tena utakuja kupigwa vibaya uwe lain ya kazi au yako usimpe mtu mwambie Sina dakika sina sms basi. Hiyo imeliza watu wengi Sana na wengi watakuja kutoa ushuhuda hapa. Follow me Mpesa business #MixByYas #Vodacom #MPESASafaricom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.