DharaphiTz profile

DharaphiTz

Jan 4, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jamani hii kwangu tu au wote kama Mala mbili hiv nafunga esabu na kijana wangu juz tu shot laki 6 na dogo aelewi iyo shot imetokea vip anafikia paka kusema ikitokea tena tunafunga esabu ikatokea shot atashindwa kazi yan changamoto kwangu na yule dogo kumpa zambi % chache sana maana nimempa uhuru kwenye vinywaji anafanya avyojua yeye ila kwenye uwakala inatokea ivyo jaman nachoka kijana wenu kwakweli

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.