mfema profile

mfema

3d ago

ā‹®
Post media

šŸ“¢ TANGAZO KWA MAWAKALA WOTE Tunapenda kuwataarifu kuwa mfumo wa M-FEMA sasa unapatikana kwa matumizi ya mawakala wote kwa ajili ya kurahisisha huduma za kifedha na uendeshaji wa shughuli za mawakala. Kupitia M-FEMA, mawakala wataweza: āœ… Kufanya miamala kwa haraka na usalama zaidi. āœ… Kubadilishana float (float exchange) kwa urahisi kati ya mawakala. āœ… Kufuatilia taarifa za miamala kwa urahisi. āœ… Kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja. āœ… Kupata taarifa na maboresho ya mfumo kwa wakati. šŸ“± Pakua M-FEMA sasa: - Google Play Store kwa watumiaji wa simu za Android. - Apple App Store kwa watumiaji wa simu za iPhone. Tunawahimiza mawakala wote kupakua na kutumia mfumo huu ili kuongeza ufanisi, usalama na uwazi katika shughuli za kifedha. ā˜Žļø Kwa maelezo zaidi au msaada wa kiufundi, wasiliana nasi kupitia: 0739 888 400 M-FEMA – Mfumo Rahisi, Salama na wa Kisasa kwa Huduma Bora.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.