manamba profile

manamba

Mar 8, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Mwenye kunisaidia hili naomba. Nimesajili lain ya uwakala wa mixx by yaani till nimemutumia ndani ya siku 3 tatu lakini nimeshangaa Leo asubuhi imegoma kufanya huduma za MIAMALA inaandika CALL BARRING, Nikijaribu kupigia namba ya simu naambiea laini yangu haijakamilishi usajili nimeenda tigo shop wameshindwa hadi niende ofisini Sasa hapa Kuna Hela ndani yake

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.