buberwa profile

buberwa

Apr 23, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habari, Naomba kueleweshwa Kwa utaratibu kabisa mpaka nielewe; MMB nimeambiwa wana mashine za aina mbili moja ya 660,000 ambayo haiwezi kuprint enyewe mpaka uwe na printer mdogo. Nyingine ni ya 1,106,000 hii inafanya Kila kitu yenyewe. Je _commission zake zinakuwa sawa??. _ huduma zinazopatikana huku na huku zinapatikana!?? _Mwenye uelewa na iyo printer ndogo ya pembeni inauzwa bei gani!? _na ufanyajikazi wake upoje!?? Naomba kiwasilisha,!🙏

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.