mbugi profile

mbugi

Mar 1, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Hili suala la mitandao kuizui fedha Kwa wakala bila Taarifa mnalionaje katika Mazingira ya Kazi ya uwakala........Mimi kwangu inaniletea hasara, je? kwako unalionaje?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.