ibraah profile

ibraah

Mar 1, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habari mimi nimean̈za uwakala nina wiki mbili kwa mtaji wa 1.6m kamisheni nimepata 20k kila mtandao nalipa kodi nategemea hapa hapa nina lipa ya voda huwa ndio inanilisha vipi vumilie au nihame chumba nimelipa miezi 6 na nina wiki mbili tu

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.