mayunga profile

mayunga

4d ago

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Hivi float ikiisha lazima niende kwa wakala mkuu kuweka ama hata kama ni nikienda kwa wakala naweka hela ile kawaida kisha naiweka kwenye float?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.