Nahitaji kuellimishwa na kupewa sababu ya hizi Kodi.
Mimi napo taka kuanza uwakala lazima nifate vigezo kama tin number ambayo hii kazi yake ni Mimi kuwa na lipa Kodi ndo maana ya tin number au lessen ya biashara ndo ipo hivyo.
Haya sawa kwenye miamala tena nakatwa na mitandao hiyo ni sawa ili na wenyewe wapate faida ila serikali wanakata tena kwenye miamala kuacha zile tunalipia mwisho wa mwezi Kwa lessen za biashara.
Haya acha hiyo Kuna Kodi tena za sehem ofisi zetu zilipo kama ni sokoni au stand tunalipa tena Kwa serikali sasa hii mbona sielewi hizi Kodi tunakatwa sana pasipo sababu.
Kodi ya leseni sawa Kodi ya mtandao sawa ila so kuktwa tena sasa kwenye miamala au kutoa tena hela ya Kodi sijui sokoni sijui barabarani yani tunatoa Kodi mara nne so sawa bana hii mnatuumiza TRA Tanzania
#MPESASafaricom #Airtel #AirtelKenya #Vodacom