fahamungabo7gmail.co profile

fahamungabo7gmail.co

Jun 5, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Kwanini voda wanatuma sms baadhi ya mawakala usitumie Lipa namba kutoa,je kwann wasitume Kwa mawakala wote na mbona Kuna baadhi ya watu wana Lipa zao wanakuja kutoa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.