mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 14, 2026

Post media

Baadhi ya wafanya kazi wamekuwa na lain zao hasa till hizo mteja akija kutoa hela kubwa kutumia till anampa code ya lain yake mwenyewe kwaiyo wewe huwezi jua sababu saivi si wateja wengi wanataka lipa kwaiyo we utazani tu wengi wanatoa lipa kumbe huku kuna kitu kinaendelea duh nika mbanano aiseee. #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.