Ikitokea kila kitu kipo sawa utaratbu ukawa sawa na tuka rudi kwenye till basi hela tutapa tu vizuri kama kawaida Wala ata msiwe na wasiwasi pia till huwa hazina usumbufu ata kidogo mtu yoyote anafanya kazi ya uwakala akitumia till lipa tunazikubali ila zina mzunguko kidogo.
Kwaiyo tuombe kama tunarudi kwenye till basi mawakala wote Tanzania turudi kwenye till nasio rahisi inahitajika ushirikiano na hao WA mtandaoni.
Tunaomba sana Vodacom watumieni message wateja waache kutaka kutoa Kwa lipa wenyewe ndo wanalazimisha Kwa sasa kama wakala Hana lipa hapati hela kabisa wateja wanasepa.
Follow me Mpesa business
#MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom