Kuhusu mawakala kuacha kutumia lipa Kuna muda Kuna ugum wake tena mkubwa sana.
Kwa sasa wateja wengi sana walisha zoea makato ya lipa ndo wanayo taka na hawalalamiki wenyewe Kwao ndo wanaona ni nafuu zaidi sasa Nini labda kifanyike ili mawakala waache kutumia lipa.
Labda mitandao iondoe lain za lipa zibaki lain za uwakala na lain za kawaida kama mwanzo apo ndipo kutakuwa na solution.
Solution ya pili au njia ya pili lain za uwakala ziwekewe makato kama ya lain za lipa apo ndipo itakuwa nafuu zaidi Kwa mawakala kama mnaruhus wafanya biashara watumie lipa watu wanapo fanya miamala unawakatazaje mawakala wasitumie lipa wakati zote ni biashara? Ukikataza kataza wafanya biashara wote kutumia lipa sababu wote tunalipa Kodi na kila kitu.
#Mpesa Business