mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 5, 2026

Post media

Naona leo nitoe uhalisia kidogo wa biashara yetu hii ya uwakala watu waweze kuelewa nafaham kbsa asilimia ya watu wengi huwa wanaingia hawajui biashara ikoje. Kwa sasa hivi kuna mchanganyiko kidogo ndomaana unaona kuna mawakala wanasema tunapiga hela wengine wanashangaa hela wanapigaje sindio jamani iko hivi. Naongea uhalisia uliopo, mawakala wanao sema wanapiga hela kwa sasa kuacha kuwa na mtaji na eneo zuri wanatumia lain za lipa kutoa hela na till wanatumia kwa mteja mmoja mmoja tena na sasa ivi voda wameleta hii pochi ya biashara yenye makato madogo lipa hii ndio kabisa wanapiga hela kwaiyo hao unaona wanapiga hela wanatumia hizo njia. Ukiwa kwenye eneo nzuri ukiwa na unatumia lipa ata ya kawaida tu kulala na 30000 kuendelea ni kawaida sana yani tena apo lain moja tu huu ndio uhalisia ukiwa na pochi ya biashara ya voda na ukiwa na wateja wa voda kwa siku voda tu kuanzia 25000 ni uhakika ukiwa kwenye eneo zuri hiyo lain moja tu mimi naongea hivi ushuhuda ninao na watakuja watu wata comment apo. Wanao lia hawapati hela asilimia 85 ni wale wanatumia till tu kwenye uwakala na mitaji yao ni ya kawaida hapo hauwezi ona hela kwa sasa huo ndo ukweli wateja wanataka lipa kwa maeneo mengi labda uko kwa matajiri ndio sijui. Kwaiyo unapotaka anza uwakala chagua hapo uwe kundi gani sasa nimeona niseme kila mtu ajue mimi nimesema uhalisia tu sijasema sema ufate kipi we ndo muamuzi. Pochi ya biashara natengeza mwenye 0779573819 wasap or call

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.