tonny profile

tonny

Jun 20, 2026

Post media

Wakuu naomba kuuliza ukishasajiliwa na hawa benki wakakupa mashine na wakakata pesa yao. Hii mashine inakua yako kabisa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.