mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 6, 2026

Post media

Nishapokea malalamiko mengi eti mteja anakuja anarusha hela Leo kesho anakuja anasema hela haikufika sasa Kwa Mimi hiyo sioni ata kama ni kesi yoyote Ile kihivi. Toka jana kwanza nasema hakikisha mteja mwenyewe ndo anakwambia jina linakuja nani akitaka mwenyewe basi yeye ndo kajifunga akikosea sasa ni juu yake yeye. Haya na wewe wakala tunza miamala tafuta sim inayo hitadhi message nyingi sana zipo sim za batani ndogo zinahifazi message nyingi sana kwaiyo miamala Anza kufuta miamala iliyo kaa siku tatu ndo ufute sasa maana hakuna mtu atakuwa mzima eti akae siku aje hela haikufika usimsikilize mwambie nenda polisi kanishataki basi sababu hiyo so Sheria kukaa siku tatu eti ndo urudi. Kwaiyo hakikisha unahifadhi miamala kwanza sasa mteja ana rusha Leo afu kesho aje eti umefuta muamala hiyo hapana jitahidi kuondoa hizo kelo. Kingine unaweza wapigia mtandaoni kuuliza je hela ikifika au haikufika ila kitu kikubwa ni mteja ataje yeye jina litalo toka basi. Mara nyingi mteja akirudi hela haikufika haji na namba Ile Ile anakuja na namba ingine ila majina yanakuwa yanafanana na Ile namba alio kuja nayo jana ko usipokuwa makini utahisi wewe ndo ulikosea soma vizuri hii point. Ni follow Mpesa business #MPESASafaricom #MPESA #vodacomtanzania

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.