mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 5, 2026

Post media

Unalalamika mimi namtaji mkubwa Niko eneo zuri mbona sasa sipati wateja napata hela kidogo. Kama ulikuwa hujui ndo nakwambia hapa wewe huishindi hela campun ya voda, Wala Yas ila ukienda kwenye ofisi hizi unahudumiwa Kama mfalme hakuna zarau za hovyo hovyo au ukipiga sim mitandaoni Kwao wanakujibu inavyo takiwa. Sasa wewe hako kamilioni Tano Kako umejiona umemaliza we ndo mwenye hela mtu anakuja kulusha buku unakunja sura au unasema sirushi buku hujui huyo mteja ni nani we unakalili tu huyu Hana hela ikitokea huyo huyo anataka kurusha laki tano hawezi tena kuja kwako sababu anajua we kumbe unazarau wenye hela ndogo. Au mwingine unajibu kwakujisikia kama vile umelazimiashwa ufungue ofisi wakati ni njaa zako kama unajiona unahela si ukakae kwako huna ndomaana unakaa barabarani kusubiri watu. Ni hayo tu ko kama una mtaji na una eneo zuri afu ni zam yako mbovu usitupigie kelele tutakuogotea mawe sasa hivi😁😁 Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #MPESASafaricom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.