mlumbo profile

mlumbo

Jun 23, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habar zenu mawakala nina swali hapa Ukituma milioni 5 mpaka 10 kupitia yas unaweza pata commissioni ya kiasi gani na ikiwa inajirudia kila siku je utaikuta mwisho wa mwezi au kuna makato mengine

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.